![]() |
| Kamanda wa Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (kushoto), akiteta jambo na Lowassa. |
Mwenyekiti wa Shirikisho la Waendesha Bodaboda Wilaya ya Ilala, Michael Loswe (kushoto), akisoma risala kwa mgeni rasmi, Edward Lowassa.
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga, akiongea na waendesha bodaboda (hawapo pichani).









