Hawana maana; Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji akiwaangalia wachezaji wake (chini) wakati wanatoka mapumziko wakiwa wamekwishalowa 2-0 mbele ya Simba SC katika mchezo wa Nani Mtani Jembe. Simba SC ilishinda 3-1.
 |
| Wachezaji wa Yanga wakitoka wakati wa mapumziko |
 |
| Anavyowatazama |
 |
Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggrey Marealle credit bin zubbery |
|