MAHAKAMA KUU ZANZIBAR YAMUACHIA KWA DHAMANA ALIYETUHUMIWA KUMUUA PADRI MUSHI
Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa
Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na
wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.Taarifa zaidi zitakujia endelea kuwa nasi