| Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akikumbatiana na mbunge wa zamani wa jimbo la Bukene mkoani Tabora, Steven Kahumba, baada ya mkutano wa hadhra wa kujenga chama uliofanyika katika mji wa Bukene juzi. |