Friday, 20 December 2013

Breaking newzzz: Watu 7 wamekufa papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa baada ya basi la Allys linalofanya safari zake kati ya DSM na Mwanza kugongana uso kwa uso na Hiace katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza.

ALLYS BUS CLASS

CREDIT ITV