Wednesday, 25 December 2013

BAADA YA MAJANGA NA NIMEVURUGWA, MSANII SNURA AACHIA WIMBO MPYAAAA WA TAARABU ... HUU HAPA USIKILIZE KWA MARA YA KWANZA KABISA

100_7851
Mara nyingi wasanii wanakuwa na aina moja au mbili ndani ya muziki aufanyao,Hii inatokea pengine kabla ya kufanya muziki uliomtoa aliwahi fanya muziki mwingine kwa Snura hatujui pengine aliwahi fanya taarabu kipindi cha nyuma.
Mtu wangu wa nguvu pata dakika kadhaa kumsikiliza Snura kwenye hii Taarabu,jina la wimbo Uko Nyuma Sana.