
Waziri
mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake
kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya
ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo

Kuna
tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list
ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao
Afrika.
