Monday, 30 December 2013

RASIMU YA KATIBA INAWASILISHWA RASMI KWA MHE RAISI JAKAYA KIKWETE,SOMA BAADHI YA VITU VILIVYOMO HAPA


Rasimu ya Katiba hii ni ndefu kuliko ya kwanza ina ibara 271 ya kwanza ilikuwa na ibara 240 

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

IMG_0180Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa Kaisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya  Kanisa Kuu  la jimbo la Arusha  iliyofanyika mjini Arusha  Desemba 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

ASERNAL YARUDI KILELENI, CHELSEA YAIZAMISHA LIVERPOOL 2-1 NA KUSHUKA MPAKA NAFASI YA TANO!!

Striker: Olivier Giroud celebrates after scoring a header to put Arsenal in the leadMshambuliaji: Olivier Giroud akishangilia bao lake leo hii
Goal! The ball went under Tim Krul and into the back of the netGooo! Giroud akifunga bao lake
CHELSEA VS LIVERPOOL
A Chelsea striker actually scores! Samuel Eto'o got the home side's second of the game, but not without a helping hand from Liverpool keeper Simon MignoletSamuel Eto’o akishangilia bao lake la pili na la ushindi

VIDEO IKIONYESHA SIMBA NAMNA ANAVYOPIGWA NA NGILI TENA BILA HURUMA, KISA.....

NGILI KATIKA HARAKATI ZAKE ZA MAISHA NDANI YA HIFADHI HII NDIVYO VIDEO NAMNA ANAVYOMPIGA SIMBA KISHA KUKIMBIA. 

HIKI NDICHO ALICHOSEMA DADA WA WAZIRI KWA KUSEMA KUWA BORA KUMVULIA NGUO MWANAUME KULIKO KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA.


"Bora kuvuliwa nguo na mwanaume kuliko kuuza madawa ya kulevya"....Huu ni ushauri wa Mwamvita makamba kwa akina dada.

DUH..KWELI POMBE SI CHAI...WADADA KWA WAKAKA WALEWA NA KUANGUSHA KIHASARA HASARA...!SHUKA NAYO HAPA....


Masela wakiwa hoi baada ya kupiga mitungi na kuselebuka muziki kwenye pati ya

VIDEO..HATARI SANA...WADADA WAMVAMIA MKAKA NA KUANZA KUMKATIKIA MAUNO VIUNO HADHARANI....!CHEKI HAPA..


CHEKI VIDEO HAPA...

LAANA NA HATARI SANA...SHOGA AITENGENEZA SHAPE YAKE NA KUWAZIDI HADI WADADA


TUNAMALIZA MWAKA, TUBADILIKE MWAKANI

Mambo vipi maanko, naamini mko poa.
Mwaka unamalizika siku chache zijazo, panapo majaaliwa, tutakapokutana tena hapa Jumamosi ijayo, utakuwa ni mwaka mwingine. Tuna mengi ya kujiuliza, ya kujifunza na hata ya kufikiria.

OBAMA, MICHELLE WADAIWA KUTENGANA

Barack Obama na mkewe Michelle kila mmoja akionekana kuwa kivyake.

Sunday, 29 December 2013

JAJI MKUU MSTAAFU, AUGUSTINO RAMADHANI (ALIWAHI KUWA BRIGEDIA JENERALI WA JWTZ ) ATAWAZWA KUWA MCHUNGAJI WA KANISA LA ANGLIKANA HUKO ZANZIBAR

 

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na kusema ameshangazwa na mashambulizi ya tindikali dhidi ya viongozi wa dini Visiwani humo.  

MH. SUMAYE ACHANGISHA MILIONI 225 UJENZI WA UKUMBI, KANISA KATOLIKI MAWELA

Waumini wa kanisa katoriki Parokia ya Maonano, Mawela wakiwa

WAZIRI MKUU ALIPONGEZA KANISA KATOLIKI KWA UBUNIFU

IMG_99641WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amelipongeza Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha kwa kubuni na kuunda Umoja wa Madhehebu ya Kikristu katika mkoa wa Arusha kama njia ya kuleta amani na mshikamano kwa waumini wake.

MABAKI YA PIKIPIKI ZA WAKULIMA BAADA YA KUCHOMWA NA WAFUGAJI KITETO MKOANI MANYARA

AUNGUZWA NA MAFUTA YA MOTO KISA VOCHA



MKASA MZIMA ULIKUWA HIVI.....

Kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mke wa mtu anateseka hospitalini baada ya kuchomwa na mafuta ya kupikia ya moto na ndugu yake baada ya kuhisiwa kuiba vocha ya simu ya mtandao wa Telecel yenye thaman ya senti 50 huko Zimbabwe.

EE MUNGU TUSAIDIE MAUAJI YA KUTISHA KITETO



 Samahani kwa muonekano wa picha hii ila ndio hali halisi Kiteto
Mauaji yakutisha Kiteto

DUH: DAH NIPE KAPTULA MPYA


PICHA YA SIKU : HII NI SHULE YA MSINGI MACHALA ILIYOPO BAGAMOYO


MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

.

LINEX AKASIRISHWA NA MASWALI MENGI KUHUSU JACK CLIEF MODEL ALIYEONEKANA KWENYE VIDEO YAKE YA KIMUGINA BAADA YA MODEL HUYO KUDAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA



Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya china na wengi kumhisi ni Jack Clief,Msanii Linex ambaye

Rais Shein wa Zanzibar katika Mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa

DUH KWELI MWISHO WA DUNIA UNAKARIBIA..SHINDANO YA KUMTAFUTA MREMBO ANAYEVUTIA KIMAHABA UKO USA LILIIVOKUA....



BALOZI WA PAPA ATAKASA KANISA LILILOPIGWA BOMU ARUSHA.

KUSHOTO: Askofu Fransisco Padilla. KULIA: Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi la Olasiti siku lilipopigwa bomu.

Hatimaye Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi la Olasiti jijini hapa lililopigwa bomu Mei 5 mwaka huu na kuahirishwa uzinduzi wake, limezinduliwa jana na Balozi wa Papa na Mwakilishi wa Vatican nchini Tanzania, Askofu Fransisco Padilla.

NDOA YAVUNJIKA RASMI WAVUTANA KURUDISHIANA FEDHA WALIZOPOKEA.

Bwana harusi akiwa na mpambe wake kanisani wakimsubiri bibi Harusi

Audio: Mad Ice - Wasiwasi


CHUO KIKUU CHETU CHA DAR ES SAALAM NI CHA 4 AFRICA


University of Dar es Salaam
The rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu  is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.

HUYU NDIYE SUPER STAR JACKIE WOLPER NA MUONEKANO WAKE MUPYA LIVE!!

Mastaa bongo movie walibaki hoi;wolper huu mwendo wake ni

MAAJABU...! MKE KUMPA RUKSA MUMEWE ATAFUTE MWANAMKE WA NJE WAKUFANYA NAE MAPENZI, SOMA ZAIDI HAPA



A woman has described how going through the ménopause killed her séx life - because intercourse became so painful.

JAMANI HII Guinness World Record NI BALAA..! CHEKI PICHA HIZI WASHIRIKI WALIVYOFANYA MAAJABU..! HADI WANAUME WALISHUSHA SURUALI KATA K NA KUTIKISA MAKALIO ETI MASHINDANO..? SI AIBU HII? CHEKI PICHA HIZI UCHEKE MWENYEWE


HAPA bendera imeshushwa nusu mlingoti.

Saturday, 28 December 2013

WABUNGE WAJISALIMISHA MADAWA YA KULEVYA....SOMA ZAIDI HAPA


Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste, William Mwamalanga
Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa  CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha na maadili nje na ndani ya makanisa.

ASHANTI UNITED YATOA KADI ZA UANACHAMA, WAPENZI WA KANDANDA WAOMBWA KUJIUNGA !!






WAPENZI wa soka nchini wameombwa kujitokeza kwa wingi kuomba kadi za uanachama katika klabu ya Ashanti United yenye makazi yake maeneo ya Ilala, jijini Dar es salaam.

HUU NDIO UKWELI KUHUSU DIAMOND....HAMNA WA KUCHEZA LIGI MOJA NAE SASA HIVI...!SOMA ZAIDI HAPA...


Ni msanii gani anayecheza ligi moja na Diamond Platnumz sasa hivi? Naamini yupo kwenye ligi yake mwenyewe na hadi sasa hana mpinzani. Japokuwa kama ni mpira wa miguu, Diamond

POMBE YAUA MFANYAKAZI WA TIGO MKOANI SHINYANGA

SHINYANGA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mfanyakazi mmoja wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO mkoani Shinyanga amekufa papo hapo baada ya kudaiwa kunywa pombe nyingi aina ya Konyagi kupita kiasi.

SAKATA LA WANAUME WALIOOTA MATITI



VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.
Vijana hao kutoka katika Jamhuri ya Dominica ni  Yeuri (17 ), Gabriel (11) na  Daniu Ramírez  (12),  hata hivyo, kwa sasa wanaishi kwa amani baada ya kufanyiwa upasuaji na kuondolewa matiti hayo. 

VIDEO: YULE MUHUBIRI WA KIKE AMBAYE HUFANYA KAZI HIYO HUKU MATITI YAKE YAKIWA WAZI ATOA UJUMBE MPYA!

African American LaTascha Emanuel who claims to be a Christian evangelist and owner of LaTascha Emanuel Ministries became popular after a video of her ‘preaching the gospel’ with her b**bs open went viral on the internet early this year is back without a new message.
photo
 The stripper turned preacher who has a ‘gospel’ web series with her husband titled ‘gospel from a strippers pole’ said that her ‘indecent exposure has been working because men are said to be flocking into her church(be it out of sheer curiosity, or to really listen to her ‘gospel’)

DUH..WAPENZI WATEMBEA MITAANI UCHI...WATIWA NGUVUNI NA KUTUPWA JELA...FUATILIA ZAIDI HAPA...


Njemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama. 

KWA WASIO MFAHAMU SNURA, WA MAJANGA HAYA NDIYO MAISHA YAKE HALISI KWA UJUMLA!

KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sanaa na burudani,

ETI JAGUAR ALIVYOONYESHA GARI LAKE JIPYA TU NA PREZZO NAE KAONYESHA LAKE TENA NDANI NA NJE..! CHEKI HAPA


VIDEO YA MADEMU WALIOSHIKISHANA ADABU MPK KUMWAGA RADHI

PICHAZ...AIBU BONGO MOVIES...BASATA HAMYAONI HAYA?!HII NI LAANA,HAPA ZINAJENGA AU ZINABOMOA?!!


Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana

WARAKA WA ABSALOM KIBANDA KWA JK

 Absalom Kibanda.

LORI LA MAFUTA LAKAMATWA LIKISAFIRISHA VIPODOZI HATARI

Baadhi  ya  vipodozi vilivyokamatwa 

TUKIO KATIKA PICHA: "MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA" -JOYCE KIRIA.. KWA NINI AMEYASEHA HAYA ? TAZAMA HAPA

https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/1486740_239965026179198_703462224_n.jpg

HIVI NDIVYO JINSI STENDI YA NJOMBE ILIVYOKUWA KERO KWA WANAINCHI

HUU NDIO UJUMBE MZITO ALIOACHA JACKIE CLIFF KABLA YA KUDAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA,USOME HAPA

Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki

Maggid Mjengwa azindua kitabu cha Simulizi za Mzee Mandela leo



 Mkurugenzi wa Kampuni ya Ikolo Investment,Maggid Mjengwa akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhulia kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Kitabu cha "Simulizi za Mzee Mandela" kilichoandikwa na Maggid Mjengwa mwenyewe.hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.

HUU NI UGONJWA HATARI!!~ TAZAMA HAPA AKIFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE

Huang Chuncai has undergone surgery to remove huge 3.3lb (1.5kg) tumours from his faceBwana mmoja aliefahamika kwa jina la Huan Chuncai mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama kukua kwa kasi katikakichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwa

BreakingNews :Jeshi la polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wakulima na wafugaji baada ya kutokea vurugu katika mkutano wao uliotishia kuvurugika kwa amani.

breaking-news-lloyd-irvin-keenan-jordon-atos
Jeshi la polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wakulima