TAKWIMU YA SIKU: WAYNE ROONEY NDIO MCHEZAJI PEKEE ANAYEMZIDI HAZARD KWA PASI ZA MWISHO KWENYE EPL TANGU 2012
Tangu msimu wa 2012/13
ni Wayne Rooney pekee yake ambaye amemzidi kwa kwa kutoa pasi za magoli
(assists) Eden Hazard - Rooney ametoa pasi 19 na Hazard katoa 18.