Monday, 3 March 2014

MJADALA: SIMBA YA 2003 VS YANGA 2014 - TIMU IPI INA KIKOSI KIKALI - NA JE YANGA WATAWEZA KUWAVUA UBINGWA WAARABU KAMA SIMBA MWAKA 2003

Juma Kaseja, Athuman Machupa, Boniface Pawasa, Ulimboka Mwakwinge, Selemani Matola, Alex Massawe, Victor Costa, Ramadhani Wasso, Yusuph Macho, Said Sued -
Hiki ndio kikosi cha Simba kilichoivua ubingwa Zamalek nyumbani kwao mwaka 2003.

Deaogratius Dida Munishi, Simon Msuva, Hamis Kiiza, Oscar, Kelvin Yondan, Emmanuel Okwi. Niyonzima Haruna, Mbuyu Twite, Nadir Haroub Cannavaro, Domayo, Mrisho Ngassa. - Hiki ndio kikosi cha Yanga cha mwaka 2014 ambacho nacho kimewapiga waarabu 1-0 nyumbani kama ilivyofanya Simba mwaka 2003. 

Je unadhani kipi ni kikosi kikali na Je Yanga itaweka rekodi kama ya Simba  kumtoa Al Ahly ambaye ni bingwa mtetezi wa Champions league?