Monday, 3 March 2014

ANGALIA PICHA ZA MADHARA ZA AJALI ZA PIKIPIKI ,MADEREVA KUWENI MAKINI NA VYOMBO VYA MOTO

Dereva wa pikipiki ya abiria maarufu kama bodaboda Aliyepata  ajali mbaya na kuvunjika kabisa mguu wake wa kulia mara baada ya kugongwa na roli la mchanga katika eneo la daraja la Mkolani wilayani Nyamagana nje kidogo ya jiji la Mwanza Mwaka jana .Wito ni Madereva Kuwa makini na Kufuata sheria za Usalama barabarani
Hivi ndivyo mguu ulivyo vunjika baada ya kupata ajali.

kujikuta ameingia katika uvungu wake na hivyo kuanguka vibaya katika barabara ya Morogoro-Dodoma

 alivyojeruhiwa katika ajali  hiyo mbaya