Monday, 3 March 2014

ANGALIA PICHA YA BINADAMU MWENYE KILO 610 APELEKWA RIYADH, SAUDI ARABIA KWA UPASUAJI

Khalid Mohsen akishushwa toka ghorofa ya pili kwa folklift nyumbani kwake mjini wa Jazan nchini Saud Arabia kwa ajili ya kupelekwa Kwenye Hspitali ya Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia kwa upasuaji
Khalid Mohsen akiwa kwenye Folklift kupelekwa uwanja wa ndege tayari kusafirishwa Riyadh, mji mkuu wa nchi hiyo kwa ajili ya upasuaji. 

 Khalid Mohsen akiingizwa kwenye ndege kutumia Folklift.
 Khalid Mohsen akitolewa kwenye tolitoli mara baada ya kuwasili Hospitali ya R