
Ni
zaidi ya wiki moja imepita toka rapper 50 Cent alitangaza kuondoka
kutoka lebo iliyochangia uzito wa jina lake kwenye hiphop
Shady/aftermath via Interscope Records na tayari ameshaachia new music.
Amedondosha video inaitwa ‘funeral’ ambapo siku ya tatu ya March 2014
ataingia kwenye soko la muziki na album mpya ya ‘animal ambition’