Monday, 6 January 2014

TAZAMA PICHA 10 ZA GEREZA ZURI ZAIDI DUNIANI YANI NI GEREZA LENYE NYOTA 5



Hii ni sehemu ambayo watu uhukumiwa na kufungwa. Justizzentrum Leoben ndiyo jina la gereza zuri zaidi Dunian, gereza hili linapatikana nchini Austria na ndilo gereza linalowajali zaidi wafungwa kuliko magereza yote yale Duniani. Mfungwa akifungwa humu anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu na ikiwemo mahitaji ya ziada. Mfungwa anakuwa na chumba chake chenye TV, radio na compyuta vile vile kuna sehemu maalum iliyotengenezwa kwaajili ya kufanyia mazoezi.