Sunday, 5 January 2014

BREAKING NWZZ: AJALI YAUA 7 JIJINI ARUSHA

Watu saba wamefariki dunia papohapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya malori mawili
kugongana katika eneo la Mti Mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha.