Sunday, 5 January 2014

Basi laacha njia mteremko wa Sekenke Singida

1536653_682554745130706_1576428508_n
Basi la Allys toka arusha kwenda Mwanza limeacha njia na kuingia kwenye mteremko wa mlima Sekenge. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo break zilifelI. Watu wote wametoka salama.