Saturday, 4 January 2014

ANGALIA JINSI BARABARA ZINAVYO HARIBIWA NA MAGARI YALIYOZIDI UZITO : HATUA ZA HARAKA ZINAHITAJIKA

 Taswira hizi ni za barabara ya Morogoro road ambako sehemu kibao zimeharibika bila shaka kutokana na  uzito wa magari. Mwenye data atusaidie....