Monday, 30 December 2013

HIKI NDICHO ALICHOSEMA DADA WA WAZIRI KWA KUSEMA KUWA BORA KUMVULIA NGUO MWANAUME KULIKO KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA.


"Bora kuvuliwa nguo na mwanaume kuliko kuuza madawa ya kulevya"....Huu ni ushauri wa Mwamvita makamba kwa akina dada.
 


Hiki ndicho Alichokiandika Mwamvita makamba baada ya kusikika taarifa ya kukamatwa mrembo mwanadada Jack Cliff na madawa ya kulevya nchini China