Ni ndege iliyopangwa kifahari ndani yake na ina uwezo wa kubeba watu 52 kwa jinsi
ilivyotengenezwa ndani yake na ikawa ina nafasi kwa kila mtu kukunjua kiti chake na kukifanya kama kitanda ambapo kama ingekua ni ndege ya kawaida nafasi hiyo ingefikisha viti karibu 150.