HABARI & MICHEZO

Pages

  • Home
  • Contact Us
  • Sports

Thursday, 14 August 2014

KIBAKA AUWAWA KWA KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA WIZI WA PIKIPIKI

 Kijana mmoja ambaye jina lake na sehemu anayoishi hafikufahamika mara moja ameuwawa kikatili kwa kuchomwa na moto na wananchi wenye hasira akidaiwa kuiba pikipiki maeneo ya katikati ya mji wa Morogoro.Tukio hilo limetokea jana maeneo ya Mkundi nje kidogo ya mji wa Morogoroa 

Kwa Mujibu  Mashuhuda wa Tukio Hilo walisema Pikipiki zaidi ya 20 zikitokea Mjini.Na moja ya boda boda hizo zilimbeba Kijana huku akiwa amefungwa kamba miguuni na mikononi huku  pikipiki nyingine ilibeba dumu la mafuta na kiroba cha majani makavu,wapofika hapa walimlazimisha kushuka huku wakimshushia kichapo na baaade walimchoma moto walipojirishisha amekufa waliwasha pikipiki zao na kuondoka eneo hili kwa mbwembwe.boda boda hao walisema walimkamata kibaka huyo alitaka kupora moja ya pikipiki zao”

Uchunguzi uliofanywa umebaini kwa sasa kumekuwa na vita isiyo rasmi kati ya vibaka na bodaboda ambapo vikaba kabla ya kuwapora pikipiki boda boda hao huwafunga kamba kisha kuwauwaa kikatili na baadae kutoweka na pikipiki,na kwamba boda boda hao nao wakifanikiwa kumkamata kibaka wa pikipiki umchoma moto kama walivyofanya kwa kijana huyu.
 Mashuhuda wa Tukio hilo Wakiwa Eneo  la Tukio
Baadhi ya wananachi wa Kata ya Mkundi wakimshnga Kibaka huyo ambaye alichomwa moto akidaiwa kuiba pikipiki
at 13:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Post Older Post Home

NYERERE

https://instagram.com/biasharatz/

Popular Posts

  • PICHA ZA AWALI KATIKA MAZISHI YA MANDELA
    Display: The coffin of former South African President Nelson Mandela is seen draped in a South African national flag during his funeral i...
  • TAZAMA KILICHOMKUTA DADA HUYU BAADA YA POMBE KUMKOLEA
  • MASIKINI HUYU DADA UMATI MKUBWA WA WATU WAMFWATA NYUMA UKIMZOMEA BAADA YA KUVAA NGUO FUPI
  • KUWA STAR NI UFUSKA ANGALIA PICHA ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA EBSS 2013 KATIKA MOJA YA SHOW ZA AIBU SANA
                                             NI POZI AMA TEGO
  • HIVI NDIVYO NGASA ALIVYO MZAWADIA DIAMOND MAGOLI YAKE..CHEKI WALIVYO KUTANA NDANI YA NDEGE
      Mrisho Khalfan Ngassa jana alifunga tena mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-2 wa Yanga dhidi ya wenyeji Komorozine ya Comoro k...
  • PICHA ZA HAWA WADADA WAKIWA DISCO

Blog Archive

http://vbusiness.co.tz/
Simple theme. Powered by Blogger.