LINAH: MASTAA WA BONGO WANASAGANA SANA, LAKINI MIMI WALA SIJAWAHI KUSAGANA HATA KIDOGO
Estelina Sanga ‘Linah’.
MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’
amesema
anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi
kushiriki.
Linah
alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi
karibuni akasema: “Usagaji upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande
wangu mimi sijawahi kufanya hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha