Habari zilizopatikana eneo la tukio zilisema kuwa machimbo hayo yalishapigwa marufuku kutokana na watendaji wake kufanya kazi katika mazingira hatarishi. Wachimbaji hao wakiwa kazini, sehemu ya machimbo hayo iliporomoka na kuwafukia.
Friday, 4 April 2014
Breaking nwzz: Watatu wafariki kwa kufukiwa kifusi machimboni Dar