TOKA KALENGA:::ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA NZIHI AACHIA NGAZI NA KUHAMIA CCM
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Nzihi akijitambulisha Rasmi kwa Wananchi wa Kijiji cha Nzihi kuwa yeye ameamua
kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM kwa hiari yake baada ya kupima
Uwezo wa Chadema na CCM kwenye Hoja na Matendo.Mwanachama huyu Mpya wa
CCM ameahidi kuongoza timu ya Ushindi kwenye Kata ya Nzihi kuhakikisha
Godfrey Mgimwa napita kuwa Mbunge.
Pia
amesema ataiweka wazi mipango ya Chadema na Watu wageni wa Chadema
waliokodishwa na Kupangishwa Nyumba kata ya Nzi wanaotembea Usiku
kwaajili ya Kutafuta kura na kushambulia Wanoaunga mkono CCM kwenye kata
ya Nzihi.Aliyekuwa
Mwanachama wa Chadema kutoka kijiji cha Kamiyu na Katibu Mwenezi wa
Chadema kata ya Kamiyu akitangaza kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM
hii leo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Nzihi.CHANZO MICHUZIJR BLOG