Mwigulu
anasema"Mchakamchaka Unaendelea Kalenga,Hii leo kazi imefanyika Kijiji
Cha Kidamali.Tunafanya kazi ya Kuhakikisha Tar.16/03/2014 Ushindi wa
Kishindo Unapatikana kwa Chama Cha Mapinduzi.
Asanteni Wanakalenga Kijiji Cha Kidamali,Kura Zote za NDIO Kwa Kijana Godfrey William Mgimwa.
UMOJA NI USHINDI"
Pichani ni Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi
Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga Mbele ya Maelfu ya Wananchi wa kata ya
Nzi hii leo 28/02/2014.


Naibu
Katibu Mkuu CCM Bara Mh:mwigulu Nchemba akifanya kampeni za Kijiwe kwa
Kijiwe,Mtaa kwa Mtaa Kata ya NZI hii leo.Kwenye Picha akikutana na
Wakati
Kampeni zikiendelea,Mh:mwigulu Nchemba aliamua Kusitisha Kampeni na
Kuungana na Wananchi wa Nzi kushiriki kwenye Mazishi msiba uliopo
Kijijini hapo.Pichani Mgombea Ubunge wa CCM William Mgimwa na Mh:Mwigulu
Nchemba wakisaidia kufanya Mazishi.
Kwa kuwa
Marehemu Mgimwa alikuwa anasomesha Watoto yatima ndani ya Jimbo
lake,Hivyo Mh:Mwigulu Nchemba ameagiza kuwa Mbunge Mtarajiwa Godfrey
Mgimwa atakapotangazwa kuwa ameshinda,Jukumu la kwanza ni kuhakikisha
anabeba Mzigo wa Watoto walioachwa na Marehemu na kuanza kazi ya
Kuwasomesha.
Kampeni
hapa Kalenga Zimepamba Moto,CCM wanafanya kampeni za Jukwaani na Nyumba
kwa Nyumba,Kijiwe kwa Kijiwe kuhakikisha Wanatetea Jimbo kwa Ushindi wa
Kishindo Tar.16/03/2014.
