Saturday, 1 March 2014

ANGALIA PICHA ZA AINA YAKE

Uwezi kukuta Mbwa, Panya na Msituni manyani wote wanakuwa kitoweo.
Awa ni popo wamesha aandaliwa tayari kwa kitoweo

Ametolewa manyoa yatari kwa kitoweo usije ukaenda huko na uchu wako wa kula nyama hii diyo habari yenyewe.

Juu mama yupo sokoni akifanya biashara yake hadi chatu nyama yake ni deal hiyo ndiyo nchi ya Indonesia.

Wanyama hawa ndiyo wanatamba katika butcher za Indonesia kaskazini katika mji wa Sulawesi

 Indonesia na nchi zingine za Asia hii ndiyo habari ya mjini