Sunday, 16 February 2014

NEC YA CCM LEO FEB 16, MJINI DODOMA


1. JK akiwa na Dk SHEIN na KINABA baada ya kuwasili ukumbiniMwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014. (Picxha zote na Bashir Nkoromo)
2. Bilal, Pinda, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Dk. MigiroWajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.3. Jk akiongoza kikao cha NEC Feb 26, 2014. Mulia ni Kinana na kushoto Dk. SheniMwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni4. Nape na Vuai Ali Vuai wakijadili jambo. Kati ni KhatibKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib5. Profesa Tibaijuka akimtegea sikio Profesa Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbiniMjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho leo. 6. Balozi Ali Mchumo na Dk. Migiri wakijadili jambo. Kushoto ni KhatibWajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiri wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib7. Wajumbe ukumbiniWajumbe ukumbini8. Wajumbe ukumbini 2Wajumbe ukumbini9. Membe  akizungumza na  Martine Shigela nje ya  ukumbiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  akizungumza na  Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Martine Shigela nje ya  ukumbi, baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maandili ya CCM, leo. Membe baadaye alihudhuria kikao cha NEC. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)