Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi
ya mshikamano kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini
Mbeya huku akiwa amewashikilia watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 37
ya kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi CCM yanayofanyika leo mkoani Mbeya
kwenye uwanja wa Sokoine Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara
na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema, Makamu Mwenyekiti wa
CCM bara Mzee Philip Mangula na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na
Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na
Ushirika Mh. Godfrey Zambi wakishiriki matembezi hayo, Matembezi hayo ya
kilomita tano yalianza Saa moja na nusu na kumalizika Saa mbili na
robo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la
Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano
kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCMMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la SowetoMwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana.