MWANAFUNZI ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUCHOMWA MSHALE WA JICHO:
Mwanafunzi
wa miaka 11 nchini China amenusurika kufa baada ya mshale uliorushwa na
rafiki yake kuzama kichwani kwake kupitia kwenye jicho lake,
aliwahishwa hospitali huku mshale huo ukiwa bado umezama kwenye kichwa
chake