Friday, 28 February 2014

HOT: Ajali Basi la Bunda Lagongana na Treni,watu wanne wafariki dunia


 
Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

 
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.