Friday, 28 February 2014

HII NI HABARI YA KWELI KUWAHUSU HAWA NDUGU






Wakati Maureen Galyon akitarajia kujifungua mwaka 1951, hakujua kama angepata watoto wawili. Hakufikiria kama angepata mapacha walioungana. Alipata mshituko kupata mapacha walioungana (Donnie & Ronnie) lakini ameweza kuishi nao kwa upendo hadi leo ni watu wazima.