ANGALIA PICHAZ; M4C- OPARESHENI YA PAMOJA DAIMA YATIKISA PWANI
Wananchi wa
Kata ya Kibindu, Chalinze, Pwani wakipiga pipooooooz power ya nguvu
mkutano uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa Mbowe, Makamu wake Said Issa
Mohamed, Peter Msigwa na Halima Mdee