![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqhjxXEqsmyVr-HD25YUfhOV8cwYoHEDdLPzCUvFoeKDlgXzRdJTn4duj_dYablPQ7e8bZpcarQtxDXC1uSzwqEIwwBvf3IvbwmEc8ATFKR3cBdRrzZNKZ54KupUbmJDpNpFy3fPJkrBI/s1600/IMG-20140228-WA0008.jpg)
Ajali
imehusisha gari ya abiria aina ya hiace inayofanya safari zake kati ya
Mweka na moshi mjini na landcruiser VX iliyokuwa imewabeba wanafunzi
wa chuo cha usimamizi na uhifadhi wa wanyama pori Mweka kilichopo Mweka ,
Moshi vijijini.Kwa
mujibu wa shuhuda wa ajali hiyobwana Fred Mushi amesema kuwa gari aina
ya landcruiser VX iligonga daladala hiyo iliyo kuwa imesimama kupakia
abiria kwenye kituo kimoja maarufu kwa jina la Kona. Ajali hiyo imetokea
muda wa saa 10.30 jioni hii
![]() |
Gari aina ya landcruiser VX iliyokuwa na wanafunzi toka chuo cha Mweka ikiwa imezama kwenye mtaro na kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo mbaya iliyotokea jioni hii |
![]() |
mashuhuda walikokuwa eneo la tukio wakilitazama gari aina ya landcuriser iliyokuwa imezama kwenye mtaro baada ya ajali hiyo iliyotokea jioni hii na kusababisha majeruhi |