Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga januari 5 , 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwaukishushwa kwenye ndege tayyari kwa mazishi yatakayofanyika kesho kijijini kwake Magunga