David Kafulila afulia!alifukuzwauanachama NCCR 2011 ila bado
anandelea kutokana kesi iliyopo mahakamani
Hamad Rashid alifukuzwauanachama CUF 2012 ila bado anandelea kutokana kesi iliyopo mahakamani
Zitto Kabwe alishutukia dili la kufukuzwa na kamua kwenda Mahakamani kuzuia Kamati Kuu ya CHADEMA isijadili uanachama wake