Waziri
wa ujenzi John Magufuli akiruhusu Lori la kwanza kupita katika daraja
la Dumila wilayani Kilosa baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha
usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
Waziri Magufuli akitoa maagizo katika daraja hilo.
Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita.