
Breaking Newss Habari zilizotufikia hivi punde zinasema boti ya
Kilimanjaro 2 iliyokuwa
ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na
dhoruba kali na kunusurika kuzama, 10 kutupwa kwenye maji na kuachwa, wametupiwa
maboya.chanzo : clouds fm