Wednesday, 29 January 2014

BREAKING NEWSSSS:JENGO LEFU KARIBU NA SUPERMARKET YA SHOPRITE KARIAKOO LINAWAKA MOTO


Live muda huu, Kuna jengo kubwa linaungua sasa hivi Eneo la Kamata.. hii ni moja ya picha inayoonesha moto huo na imepigwa muda huu.
Endelea kufuatilia hapa kwa Taarifa zaidi

Picha na Dar es salaam yetu Blog