Saturday, 25 January 2014

BREAKING NEW'S: AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO 67 WAHUTUTI, SOMA ZAIDI HAPA





Ajali ya kutisha yatokea maeneo ya KIA jirani na kampuni ya kusaga kokoto ya konoike au njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo hakuna aliye fia hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na
makonda wote.